LIVE STREAM ADS

Header Ads

WASHIRIKI MISS ILEMELA 2016 WATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA KILICHOPO MAGU MKOANI MWANZA.

Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016 (pichani), wakionyesha upendo wao kwa 102.5 Lake Fm Mwanza, walipotembelea Kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika Wilaya ya Magu mkoani Mwanza siku ya jana. 

Walimbwende hao wamepiga kambi katika hotel ya "New Bujora Point" iliyopo Magu ili kujinoa na fainali za shindano hilo linalotarajiwa kufanyika jumamosi ijayo June 4, 2016 katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza, ambapo kiingilio itakuwa shilingi 10,000 kawaida na shilingi 30,000 kwa VIP huku wasanii mbalimbali wakiongozwa na Ney Wa Mitego wakitarajiwa kudondosha burudani kali.

Pamoja na mambo mengine, lengo la washiriki hao wa shindano la Miss Ilemela 2016 ambao mwaka huu ni 16, ni kutembelea kituo hicho ni kujifunza masuala mbalimbali kuhusiana na utamaduni wa kabila la Kisukuma.
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016 (pichani), wakiwa katika viunga vya Kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika Wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Kulia mbele ni Richard Raphael Buluma ambae ni mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho Bujora akiwatembeza washiriki wa mashindano ya Miss Ilemela 2016 katika kituo hicho. Kushoto mbele ni Meneja wa hotel ya New Bujora Point, Barnabas Raymond Mgaza.
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Richard Raphael Buluma (mwenyem kofia) ambae ni mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho Bujora, akitoa maelezo ya awali kuhusu kituo hicho kwa washiriki wa Miss Ilemela 2016 walipotembelea kituoni hapo hii leo.
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. 
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakiwa katika viunga vya kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza. Mwenye kofia kushoto ni director katika shindano hilo.
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakimsikiliza  Richard Raphael Buluma ambae ni mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho Bujora
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakionyeshwa maeneo mbalimbali ya makumbusho hayo.
Washiriki wa Shindano la kumsaka mlimbwende katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza la MISS ILEMELA 2016, wakionyeshwa maeneo mbalimbali ya makumbusho hayo.
Pamoja na mambo mengine, lengo la washiriki hao kutembelea kituo hicho ni kujifunza masuala mbalimbali kuhusiana na utamaduni wa kabila la Kisukuma.
Imeandaliwa na BMG.

No comments:

Powered by Blogger.