LIVE STREAM ADS

Header Ads

ADHA YA USAFIRI KABLA NA BAADA YA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM 2016 MKOANI DODOMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

George Binagi-GB Pazzo Live kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma Convetion Center mjini Dodoma.
Wiki moja kabla na baada ya Mkutano Muu wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Julai 23,2016 mkoani Dodoma, kulikuwa na adha ya usafiri kuelekea ama kutoka mkoani humo kutokana na ongezeko la wajumbe wa mkutano huo pamoja na wasafiri wengine.

Pia kulikuwa na mfumko wa bei kwa bidhaa mbalimbali ikiwemo chakula. Ungana na ripota wa BMG, Vesterjtz anaeripoti kwenye video juu ya adha ya usafiri mjini Dodoma.

No comments:

Powered by Blogger.