MANISPAA YA DODOMA NA KIMBILIO LA KUWA MIONGONI MWA MIJI SAFI NCHINI TANZANIA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Manispaa ya Dodoma imekuwa miongoni mwa Miji inayozingatia suala la Usafi. Sitashangaa kwa siku zijazo kusikia kwamba Mji wa Dodoma umekuwa miongoni mwa Manispaa Safi nchini Tanzania katika Mashindano ya Usafi.
Pichani ni katika eneo la kukusanyia usafi kwa muda Stand Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma kabla ya kupelekwa katika madampo ambapo nilipenda utaratibu wao Manispaa ya Dodoma kwamba Uchafu haulali katika eneo hili.
Picha na Vesterjtz wa BMG
No comments: