MWENYEKITI WA BODABODA MKOANI SHINYANGA, TAARIFA KWA UMMA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
PIKIPIKI NAMBA MC.217 AZB SANLG NYEKUNDU IMEIBIWA NA DEREVA KUUAWA KWA KUCHOMWA KISU KIFUANI NA KUPOTEZA MAISHA USIKU WA KUAMKIA LEO TAREHE 02.07.2016.
MWENYE PIKIPIKI ALITEKWA USIKU MAENEO YA MAGANZO WILAYA YA KISHAPU MKOANI SHINYANGA.
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAENDELEA HAPA MJINI SHINYANGA MAENEO YA NDEMBEZI.
IMEATOLEWA NA MWENYEKITI BODABODA MKOANI SHINYANGA, JACKOBO LUKWABU.

No comments: