LIVE STREAM ADS

Header Ads

SEKRETARIETI YA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Naibu Katibu wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCC Taifa, Shaka Hamdu Shaka (katikati), leo amekutana na Sekretarieti ya Baraza Kuu UVCCM Taifa katika Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dar es salaam kujadili taarifa na mikakati mbalimbali ya baraza hilo ambapo Shaka alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho.

Kushoto ni Naibu Katibu wa UVCCM Zanzibar, Abul Ghaffar, na kulia ni Naibu Katibu wa UVCCM Bara, Mfaume Kizito.
Na Fahadi Siraji.
Kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kikiendelea Makao Makuu ya CCM Jijini Dar es salaam.

No comments:

Powered by Blogger.