LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIGO WATISHA MAONESHO YA SABASABA 2016 JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com 

Wateja wa Tigo wakipata huduma za Tigo pesa katika banda la tigo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam
Na Krantz Mwantepele
Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam
Wateja wakiangalia baadhi ya simu zinazouzwa katika banda la kampuni ya simu ya Tigo katika maonesho ya 40 ya sabasaba jijini Dar es salaam.
Mmoja wa wateja akipata maelezo kwa mtoa huduma wa Tigo kuhusu simu zinazouzwa katika banda la tigo
   Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.