LIVE STREAM ADS

Header Ads

AIRTEL YANOGA KWENYE MAONESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Umati wa watu waliofika Jana Agost 08,2016 kwenye Maonesho Kilele cha Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kanda ya Ziwa Nanenane yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza, ukifuatilia burudani kwenye mabanda ya Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Airtel.
Na BMG
Burudani ilikuwa fresh sana ambapo kundi la Mirambo Classic Band lilinogesha burudani za Nanenane kwenye banda la Airtel.
Mshereheshaji wa Airtel akiwa na dancer wa Mirambo Classic Band
Dancer wa Mirambo Classic Band
Wakifuatilia burudani za Airtel
Huduma mbalimbali zilikuwa zikiendelea kwenue mabanda ya Airtel.
Bonyeza HAPA Kwa Picha Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.