LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA EDMARK KWENYE KILELE CHA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Kampuni ya Edmark imeshiriki vyema Maonesho ya Wakulima na Wafugaji ambayo kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa yamefanyika kwenye Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza.

Bidhaa za Edmark ni bora kwa ajili ya kuimarisha afya kwa watumiaji wake hususani wenye tatizo la unene kupita kiasi ambapo bidhaa hizo hutengenezwa kwa mimea lishe na hazina madhara yoyote.
Na BMG
Wauzaji wa bidhaa za Kampuni ya Edmark ambayo hupatikana duniani kote wakiwa katika Maonesho ya Nanenane Jijini Mwanza. Kulia ni Stella Mutta na kushoto ni Lewis Dioniz. 
Zawadi kutoka Edmark
Jana Agost 08,2016 mmati wa watu ulihudhuria kwenye Kilele cha Maonesho ya Nanenane Jijini Mwanza kama picha inavyoonesha.
Bonyeza HAPA Kwa Picha Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.