LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG YAKARIBISHWA NDANI YA BANDA LA KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS KATIKA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mwanahabari na Blogger wa Binagi Blog_BMG, George Binagi-GB Pazzo, akifurahia maziwa ya Asas ambayo yanasindikwa na Kampuni ya Asas Dairies Limited ya mkoani Iringa, katika Maonesho ya Wafugaji na Wakulima Nanenane yanayofanyika Kanda ya Ziwa katika Uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza.

Katika msimu huu, Kampuni hiyo imetoa punguzo kubwa la bidhaa zake ambapo ukifika katika banda lake utajipatia maziwa pamoja na bidhaa nyingine kwa bei nafuu.

Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa ambayo yalianza tangu Agost Mosi mwaka huu, yanatarajiwa kufunguliwa rasmi kesho Agost 04,2016 na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Hakika Maziwa ya Asas ni matatu na yako katika ubora na kiwango cha hali ya juu. Yajaribu katika msimu huu wa Nanenane.
Hapa Kunywa Tu Maziwa ya Asas
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Maziwa ya Asas, Joshua Giliard, akimkarimu Blogger wa BMG, Maziwa ya Asasi katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa yanayofanyika katika Uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.