LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA BIDHAA ZA TIBA LISHE YA ED-MARK YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mwakilishi kutoka Kampuni ya EDMARK, Stella Mutta (kushoto) akitoa maelekezo kuhusiana na bidhaa zinazouzwa na kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa ambayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza.

Kampuni hiyo inajihusisha na utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za mimea za tibalishe ambazo matumizi yake yameonekana kuimarisha afya ya mwili kwa watumiaji wake. Hakikisha unatembelea banda ya EdMark kwenye maonesho hayo.
Na BMG
Mwakilishi kutoka Kampuni ya EDMARK, Stella Mutta (kulia) akitoa maelekezo kuhusiana na bidhaa zinazouzwa na kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa ambayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Bidhaa zinazotengenezwa na EdMark ni bora na zimeonekana kuwa msaada mkubwa kwa watumiaji wake ambapo ukizitumia utaondokana na magonjwa mbalimbali mwilini ikizingatiwa kwamba hutengenezwa kwa mimea lishe. 
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.