LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO MKOANI GEITA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema.
Na Clantz Mwantepele
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na  kamouni ya simu ya tigo.
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo.

No comments:

Powered by Blogger.