LIVE STREAM ADS

Header Ads

FURSA KWA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA NA MAENEO JIRANI KUTOKA STAR FOUNDATION.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Taasisi ya "Star Foundation" imeandaa Inspiration Event (Tukio Msukumo) siku ya kesho jumamosi Agost 06,2016 katika Ukumbi wa Vizano Hotel Jijini Mwanza.

Event inahusu jinsi ya kukuhamasisha kutambua kipaji chako, kujiamini na kufikia malengo yako kupitia fursa zilizopo. Timu ya Trace Music ambayo ipo na Msanii Mayunga ambaye pia atakuwa mmoja wa wazungumzaji, itakuwepo.

Kumbuka ni kuanzia saa tisa alasiri na hakuna kiingilio hivyo fika bila kukosa.
Thibitisha ushiriki wako kupitia 0756354748

No comments:

Powered by Blogger.