LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKOSE BANDA LA AIRTEL KWENYE MAONESHO YA NANENANE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Ukifika kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa yanayofanyika kwenye uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza, hakikisha unafika kwenye mabanda ya kampuni ya mawasiliano ya Airtel kuna ofa kabambe zinatolewa msimu huu wa Maonesho ya Nanenane.

Pia utafurahia burudani na mashindano mbalimbali ambayo yanaaambata na zawadi mbalimbali kutoka Airtel hivyo usikose kutembelea mabanda ya Airtel.
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.