LIVE STREAM ADS

Header Ads

IPOKEE NGOMA YA WAPANCRAS WALIYOMSHIRIKISHA ABUU MKALI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Baada ya kutamba sana na wimbo wao uitwao "Chausiku", Wasanii wanaounda kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Jijini Mwanza, Wapancras, wanatarajia kuachiwa wimbo mpya wakiwa wamemshirikisha msanii Abuu Mkali nae pia kutoka Jijini Mwanza.


Wimbo huo ambao unajulikana kwa jina la #Nitunzie_Siri utaachiwa rasmi Agost 08,2016 katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. 
Kundi la Wapancras linaundwa na wasanii wawili ambao ni wanandugu, Mecras (Kushoto) na Payus (Kulia). Hawa jamaa huwa hawakosei. Wasikilize HAPA
Abuu Mkali

No comments:

Powered by Blogger.