LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA MABATI BORA YA WAJA YAJA NA OFA KUBWA KWA WATEJA WAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Kampuni ya Waja General imetoa punguzo la bei za Mabati ya Waja katika msimu huu wa Maonesho ya Nanenane ambapo pia ukinunua mabati hayo unapata Warranty (nembo ya uthibitisho katika ubora) ya miaka 15.

Fika katika banda la Kampuni ya Waja kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane Kanda ya Ziwa yanayofanyika katika Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza kwa maelezo zaidi na hata kujionea vitu mbalimbali ikiwemo vya usalama pahali pa kazi, maabara na shule katika banda hilo. 

Pichani kushoto ni Peter Muro ambae ni msimamizi wa utengenezaji Mabati ya Waja akitoa ufafanuzi kwa mteja.
Na BMG 
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.