LIVE STREAM ADS

Header Ads

MICHE NA MBEGU BORA ZA PAPAI KWENYE MAONESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Maonesho ya Wakulima na Wafugaji yanaendelea kwa Kanda ya Ziwa kwenye Uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza. 
Kulia ni Ashraph Omary kutoka taasisi ya Mazingira Metdo, akifafanua jambo juu ya miche na mbegu bora za papai kwenye maonesho hayo.
Na BMG
Mbegu na miche ya papai kwenye maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa
Mbegu hizi za papai huanza kutoa matunda mapema sana na huzaa matunda mengi.
Kwa bei nafuu jipatie mbegu na miche ya papai kwenye maonesho ya Nanenane Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.