LIVE STREAM ADS

Header Ads

PAKUA NGOMA TAMU YA SADIMU AKIMSHIRIKA BARAKA DA PRINCE-MOYO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Bonyeza HAPA Kusikiliza na Kupakua Wimbo Mpya wa Msanii Sadimu kutoka Jijini Mwanza, ambao amemshirikisha Star Baraka Da Prince. Ni wimbo mtamu ukiusikiliza kwa umakini, Unaitwa Moyo. 

Umepikwa katika Studio za Pango Records za Jijini Mwanza, ikiwa ni Mikono salama ya Producer H-Pol.  Pia waweza kubonyeza Play Hapo Chini kusikiliza na hata kupakua bure kabisa.
Na BMG

No comments:

Powered by Blogger.