LIVE STREAM ADS

Header Ads

STENDI MPYA YA MABASI YAFUNGULIWA KATIKA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com 

Mkuu wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Glorious Luoga (anaeongeza), leo amefungua Kituo Kipya cha Mabasi (Stand) cha Ngerengere kilichopo katika mji mdogo wa Sirari wilayani humo.

BMG inahimiza utunzaji mzuri wa miundombinu katika stendi hii
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Apocastro Tindwa (kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa stendi hiyo.


Baadhi ya mabasi yatokayo Tarime-Mwanza
Mwonekano wa stendi ya Ngerengere iliyopo Sirari wilayani Tarime
BMG inashauri maboresho zaidi yaendelee kufanyika katika stendi hii ili kukidhi mahitaji ya watumiaji wake ikiwemo upatikanaji wa huduma muhimu za aina mbalimbali, ikizingatiwa kwamba mabasi mbalimbali yakiwemo ya mikoani kama yaendayo mkoani Mwanza kutoka Sirari-Tarime, yatakuwa yakitumia stendi hii.
Picha na Frankius Cleophace

No comments:

Powered by Blogger.