LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKU WA BWANA RASHID YUSUPH NA MISS PILLI RASHID WA JIJINI MWANZA WAFANA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Usiku wa Juzi Jumamosi Agost 13,2016 kuamkia jana jumapili, ilikuwa furaha kubwa kwa Bwana Rashid Yusuph (kushoto) pamoja na Miss Pilli Yusuph baada ya kufunga ndoa.

Ndugu, jamaa na marafiki waliungana na maharusi hao katika sherehe iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Magnum Hotel Jijini Mwanza.
Imeandaliwa na BMG
Kutoka kushoto ni Patron, bwana harusi, bibi harusi na matron
Maharusi na wasaidizi wao
Wasaa wa zawadi kwa maharusi
...Hainaga Ushemeji...(just utani tu).
Hongereni kwa kuwa mwili mmoja
Achukucha, achukuchaaa (utani)
Pongezi kwa maharusi
Zawadi kwa maharusi
Wageni waalikwa
Kushoto ni mshereheshaji katika ubora wake
Sala kabla ya msosi
Msosi time
Hapa Kula Tu
...Kula Malikia wangu...
Ni muda wa kula
Muda wa chakula
Wazazi
Wazazi
Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika kwenye chakula

No comments:

Powered by Blogger.