LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHRISTIAN BELLA NA MALAIKA BAND WAPAGAWISHA WAPENZI WA BURUDANI JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Jana Jumapili Septemba 11,2016 Mkali wa Masauti Christian Bella akiwa na bendi yake ya Malaika Band, aliwapagawisha wapenzi wa burudani Jijini Mwanza, pande za Villa Park Resort.
Na BMG
Makamuzi yalinoga kinoma noma na mwanzo mwisho, Bella alipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mashabiki zake
Usiku wa Christian Bella Jijini Mwanza ulifana sana ambapo Bella na bendi yake walishambulia jukwaa kwa takribani masaa matatu.

No comments:

Powered by Blogger.