LIVE STREAM ADS

Header Ads

HERMAN KERARYO ANATAFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI, ZAWADI NONO KUTOLEWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Displaying WIZI 2.jpg
Herman Waheke Keraryo (pichani) anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kugushi nyaraka na Hundi ya fedha ya Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd ya Jijini Mwanza na kuiba amefunguliwa Jalada (RB) MW/IR/5446/2016 MWANZA.

Mkurugenzi wa Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd anawaomba wananchi wanaomfahamu na watakao muona mtu huyo hapo juu kwenye picha watoe taarifa haraka kwake au katika kituo chochote cha Polisi kilicho karibu ili kuwezesha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.

Zawadi nono ya fedha itatolewa kwa mtu ambaye atatoa taarifa itakayowezesha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Wasiliana tumia simu namba 0786 959 400/, 0783 778 778, 0684 005 000 au toa taarifa Kituo cha Polisi kilicho karibu nawe.
ASANTE

No comments:

Powered by Blogger.