LIVE STREAM ADS

Header Ads

HONGERA KWA KUZALIWA MWANANZENGO WA 102.5 LAKE FM MWANZA, IMANI HEZRONE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Septemba 20 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa Mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Iman Hezroni (pichani).

"Miaka kadhaa nyuma siku kama ya leo nilizaliwa, kwa hakika ilikuwa ni mpango wa MUNGU kila kitu kilipangwa tayari kwa ajili yangu kutoka kipindi hicho ningali hata mama hajanileta,

niseme nini zaidi ya kushukuru...naitwa IMANI nina imani na MUNGU kuliko kawaida, hakuna anayepangua kile ninachoamini na alichokiandaa MUNGU kwa ajili yangu iwe kazini, nyumbani na hata mahali popote. 

Ahsante YESU kwa kunifanya kuwa huyu. Mimi ni mshindi hakika kwani wewe tayari ulishanishindia. Ahsante mama Yunis kwa kunizaa...nina jeuri kwa sababu baba wa mbinguni kakubali nipumue, endapo atafanya chochote kwangu jeuri hakuna. ASANTE YESU". Ameandika Imani kwenye ukurasa wake wa facebook.
BMG inakutakia Maisha Mema na Marefu!

No comments:

Powered by Blogger.