LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIGO FIESTA 2016 YATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia juzi.
Na Krantz Mwantepele
Barnaba akiendeleza mtiriko wa burudani ya muziki mzuri
Christian Bella naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta
Maua Sama
Wasanii Navy Kenzo wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro
Nay wa Mitego akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta
Msanii Sholo Mwamba akionyesha uhodari wake wa mtindo wa singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Majengo, Moshi Kilimanjaro
Umati wa wakazi wa Moshi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta 2016.

No comments:

Powered by Blogger.