LIVE STREAM ADS

Header Ads

ASHA MASHAUZI KUDONDOSHA BURUDANI KALI KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAWAKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mwanza mambo yanazidi kunoga, mkali wa miondoko ya taarabu nchini, Isha Mashauzi, atatumbuiza kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke litakalofanyika Gold Crest Hotel Jijini Mwanza tarehe 06.11.2016 kuanzia saa kumi alasiri.

Kwa shilingi 40,000 tu kutakuwa na elimu ya kujikomboa kiuchumi kutoka kwa baadhi ya wanawake waliofanikiwa nchini, chakula, vinywaji pamoja na burudani kutoka kwa wasanii na waigizaji mbalimbali akiwemo Katarina Wa Karatu.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.