LIVE STREAM ADS

Header Ads

+Audio: Mahojiano na Peter Serukamba,Mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Karibu na asante kwa kujiunga nasi, Oktoba 6, 2016, tulipata fursa ya kutembelewa studioni (Kilimanjaro Studio, Beltsville, Maryland) nchini Marekani na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini nchini Tanzania. Tumejadili mengi tu kuhusu Tanzania yetu, Karibu kusikiliza.

No comments:

Powered by Blogger.