LIVE STREAM ADS

Header Ads

BENKI YA POSTA YAJENGA CHOO CHA SHILINGI MILIONI 14 SHULE YA MSINGI PANDE JIJINI TANGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Vyoo katika shule ya msingi Pande ambavyo limegharimu kiasi cha sh.milioni 14.5 kushoto ni Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava na kulia ni Afisa Elimu Sayansi Kimu, Rukia Magogo 
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses akizundua Jengo jipya la Choo cha Shule ya Msingi Pande ambalo wamelijenga.
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses pamoja na wageni wengine wakipiga makofi mara baada ya kulizundua jengo hilo
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses kulia akipongezwa na mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Pande,Mathias Anthony mara baada ya kuzindua Jengo la Choo
Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses katikati akielekea kuzindua Jengo hilo
Afisa Elimu Msingi wilaya ya Mkinga,Zakayo Mlenduka akizungumza kwenye halfa hiyo
 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses wa tatu kutoka kushoto akionyeshwa choo za zamani ambacho kilibomoka na Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava wa tatu kulia wakati alipotembelea eneo hilo
Choo cha zamani ambacho kilikuwa kinatumiwa na wanafunzi wa shule hiyo ambacho kilianguka
Imeandaliwa na Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Powered by Blogger.