LIVE STREAM ADS

Header Ads

BI.CHAU KUWAFUNDA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Hakika ni elimu na mafunzo ambayo si ya kukosa, ni katika Kongamano la Sauti ya Mwanamke litakalofanyika tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii na wachekeshaji ambapo kiingilio ni shilingi 40,000 tu na utapata chakula na vinywaji kuanzia saa kumi alasiri. 

Mfundaji Bi.Chau kama kawaida atawafunda wanawake watakaofika kwenye kongamano hilo.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.