LIVE STREAM ADS

Header Ads

BI.UBWA IBRAHIM KUONGEA NA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Bi.Ubwa Ibrahim atakuwa miongoni mwa wazungumzaji/wahamasishaji kwenye kongamano la Sauti ya Mwamamke litakalofanyika Novemba 06 mwaka huu Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Ni kuanzia saa kumi alasiri ambapo utapata mafunzo ya kujiinua kiuchumi, mafunzo ya ndoa, burudani ya muziki na vichekesho, chakula pamoja na vinywaji kwa shilingi 40,000 tu, Usikosee!
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.