LIVE STREAM ADS

Header Ads

KISHINDO CHA TIGO FIESTA 2016 CHATIKISA MJI WA MTWARA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Roma Mkatoliki  akiwapa mashabiki burudani tosho kwenye tamasha la Tigo fiesta 2016 uwanja wa Umoja Nangwanda mkoani Mtwara juzi jumamosi.
Na Krantz Mwantepele
Msanii Manfongo akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Umoja Nangwanda Mtwara.
Jay Moe akiwaburudisha wakazi wa Mtwara katika tamasha la Tigo Fiesta
Joh MAKINI Akitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta usiku wa jana mjini Mtwara
Weusi wakilivamia katika jukwaa la Tigo Fiesta 
Msanii toka Mtwara aliyepatikana katika shindano la Super Nyota akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016.

No comments:

Powered by Blogger.