LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAMBO YOTE HADHARANI KUHUSU USIKU WA MSHIKE MSHIKE YA LAKE FM MWANZA NA KHADIJA OMAR KOPA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mwanza tukutane #VillaParkResort Siku ya Alhamis tar 27/10 kwenye #USIKUWAMSHIKEMSHIKE unaletwa kwako na @lakefmmwanza Burudani itashushwa na @officialkhadijakopa na @ogopakopa_classic_band kuanzia saa moja hadi majogoo Kwa mkwanja wa shilingi elfu 7,000 kabla ya saa 5 usiku, na elfu 10000 baada ya saa 5 usiku.

#USIKUWAMSHIKEMSHIKE unapewa nguvu na @tigo_tanzania @barmedas.tv @startimestz pamoja na #Iroggabarbershop #Cocacola 

Bila kusahau mziki mzuri kutoka kwa #LakefmDjz @djdhifa_untouchable @deejaykflip @hcuedj  #USIKUWAMSHIKEMSHIKE pale #VillaParkResort ndo #RahaYaRockCity inapopatikana.

Jishindie tiketi za #USIKUWAMSHIKEMSHIKE kwa kusikiliza vipindi vya @lakefmmwanza. Kila kipindi kina toa tiketi tano
Soma HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.