MAUZO YA HISA YASHUKA KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM-DSE.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Na James Salvatory-BMG Dar
Kiwango cha mauzo ya hisa katika soko la hisa la Dar es
Salaam (DSE) kimeongezeka kutoka shilingi bilioni 16.2 hadi kufikia shilingi bilioni 19.4 kwa wiki hii ambapo ongezeko hilo ni sawa na asilimia 50 ya mauzo yaliyopita.
Salaam (DSE) kimeongezeka kutoka shilingi bilioni 16.2 hadi kufikia shilingi bilioni 19.4 kwa wiki hii ambapo ongezeko hilo ni sawa na asilimia 50 ya mauzo yaliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Afisa Mwandamizi wa Soko hilo, Mary Kinabo, amesema kuwa wakati kiwango cha mauzo ya hisa kimepanda na kufikia shilingi bilioni 19.4 idadi za hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeshuka kwa
asilimia 50 hadi kufikia hisa milioni 2.4 ikilinganishwa na hisa
4.8 za awali.
asilimia 50 hadi kufikia hisa milioni 2.4 ikilinganishwa na hisa
4.8 za awali.
Amesema kuwa ukubwa wa mtaji wa soko umeshuka kwa asilimia 0.05 kutoka shilingi trioni 21.58 hadi trioni 21.57 wakati makapuni
yanayoongoza kwa idadi za hisa kuuzwa na kunuliwa nipamoja na TBL (58%), CRDB (32%) wakati Soko lahisa la Dar es salaam lishika nafasi ya tatu kwa asilimia nne kwa idadi ya hisa za kuuzwa na kunuliwa.

Mtaji wa makapuni ya ndani umepungua kwa asilimia 0.29, sekta ya viwanda imeonesha kupanda kwa asilimia 48.77 baada ya bei ya hisa za TBL kupanda kwa asilimia 1.56
Amesema wakati sekta ya viwanda ikipanda kwa asilimia 1.56, sekta ya huduma za kibenki na kifedha imeonesha kushuka kwa pointi 100.75 baada ya bei ya hisa kushuka kwenye taasisi hizo ikiwemo CRDB kwa asilimia 10.71.
No comments: