LIVE STREAM ADS

Header Ads

OFISI YA MAKAO MAKUU YA HIFADHI YA SERENGETI MKOANI MARA YATEKETEA KWA MOTO

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Ofisi ya Makao Makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti yaliyoko Fort Ikoma wilaya ya Serengeti mkoani Mara, imeteketea kwa moto leo jumamosi tarehe 08, 10, 2016.

Moto huo ulianza katika ofisi ya tiba ya wanyamapori na kusambaa katika ofisi nyingine.

Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana na taarifa kamili itatolewa mara baada ya uchunguzi kukamilika ikiwa ni pamoja na kujua harasa kamili iliyotokana na moto huo.

Imetolewa na idara ya Mawailiano, Hifadhi za Taifa Tanzania.

No comments:

Powered by Blogger.