Homa ya burudani ndani ya Rock City pale Maisha Basement Club, its all about kipindi cha MDUNDO BANDO cha 102.5 @lakefmmwanza kutambulishwa, ni baada ya kipindi cha MSHIKE MSHIKE kutambulishwa pale Villa Park.
USIKOSEE maana pale kati patakuwa patamu na Nay Wa Mitego. #BMG
No comments: