LIVE STREAM ADS

Header Ads

KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA LAFANYIKA BARAKA KWA WAUMINI WAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Waumini wa Kanisa la EAGT LUMALA MPYA Jijini Mwanza, wakipata mahubiri, maombi na mafundisho ya mchungaji wa kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, katika ibada za hii leo jumapili.

Mtumishi huyu amefanyika Baraka kwa watu wengi kwani Mungu amekuwa akimtumia vyema kupitia mahubiri na mafundisho yake hivyo hakikisha unafika kwenye huduma za Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.

Wengi wamebarikiwa kupitia huduma za Mchungaji Dkt.Kulola, wameponywa, wamefanikiwa katika shughuli zao na hakika nguvu ya Kristo inazidi kuonekana ndani ya Kanisa la EAGT Lumala Mpya.
Na BMG
Vijana waliokoka na wenye ari ya kumtumikia Mungu kwa nguvu zote ambao ni zao la kanisa la EAGT Lumala Mpya.
Bonyeza HAPA Kwa Habari Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.