LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUHUSU RAIS MAGUFULI KUVUNJA BODI YA WAKURUGENZI TRA NA KUTENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WAKE.

Rais John Magufuli ametangaza kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA, Berbard Mchomvu. Pia ameivunja bodi nzima ya TRA.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu haijaeleza sababu za kufanya hivyo bali imefafanua kwamba uteuzi wa Mwenyekiti mwingine utatangazwa hapo baadaye.

No comments:

Powered by Blogger.