LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUNDI LA MUZIKI LA "WAPANCRAS" KUTOKA KANDA YA ZIWA LAELEZA MAFANIKIO YA WIMBO WA "NITUNZIE SIRI".

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com



Wapancras ni kundi la Muziki kutoka Kanda ya Ziwa linaloundwa na wasanii Mecrass na Payus. Ni kundi linalofanya vizuri na nyimbo kadhaa ikiwemo Chausiku pamoja na Nitunzie Siri ambayo wamefanya na msanii Abuu Mkali.

Wamezungumza na BMG Habari na kuelezea furaha yao kwa hatua kubwa waliyofikia kwenye muziki na kuwapongeza mashabiki zao.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

No comments:

Powered by Blogger.