LIVE STREAM ADS

Header Ads

LAKE FM YANOGESHA SHINDANO LA DANCE KITAA 2016 JIJINI MWANZA.

Shindano la Dance Kitaa 2016 kuwasaka wakali wa kucheza muziki kutoka viunga na mitaa mbalimbali Jijini Mwanza linaendelea kupamba moto ambapo 102.5 Lake Fm Mwanza ni miongoni mwa wadau waliohakikisha shindano hilo linafanikiwa.

Fainali zitafanyika Rock City Mall hivyo endelea kuisikiliza #Rahayarockcity 102.5 Lake Fm Mwanza na kusoma BMG kila siku ili kupata michongo zaidi.
Vijana wa Lake Fm (wawili katikati) pamoja  na Waandaaji wa Dance Kitaa 2016 wakiwa kwenye shindano hilo wikendi iliyopita.

No comments:

Powered by Blogger.