LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA NCHINI CBE YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akizungumza kwenye Mahafali ya 51 ya Chuo cha Elimu ya Biashara nchini (CBE) yaliyofanyika juzi jumamosi Jijini Dar es salaam.

Aliwahimiza wahitimu hao kutumia fursa ya kuanzisha makampuni na viwanda vidogo vidogo ili kujiajiri na kuajiri wengine kwa kuwa kuna fursa ya aina hiyo nchini.

Alisema serikali itaendelea kuwekeza kwenye elimu ya biashara ili kuwawezesha wahitimu wake kujiajiri na kuajiriwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta binafsi hususani biashara.
Wahitimu zaidi ya 1,800 kwa mwaka 2016 walitunukiwa stahili zao katika ngazi mbalimbali
Na James Salvatory, BMG Dar

No comments:

Powered by Blogger.