NI UPENDO MKUBWA TAMASHA LA KIMATAIFA LA FILAMU ZANZIBAR KUFANYIKA MKOANI GEITA.
Mradi uko chini ya taasisi ya Kijani Consult Tanzania ya mkoani Geita kwa ufadhiri wa Zanzibar Interntional Film Festival ZIFF.
Wikendi yangu ilikuwa poa kwani pia Bodi ya Filamu Tanzania chini ya Katibu Mtendaji, Bi.Joyce Fissoo, na viongozi wengine, alikutana na Wanatasnia ya filamu mkoani Geita na kuzungumza mikakati mbalimbali ya kukuza sekta hiyo.
Jambo jema zaidi ni Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar kutangazwa pia kwamba litafanyika mwakani mkoani Geita. Ahsante Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na ZIFF kwa upendo huo kwa wanatasnia ya filamu mkoani Geita". George Binagi #BMG & #LakeFm
No comments: