LIVE STREAM ADS

Header Ads

PATA PICHA KAMA SIYO KENYA ILA NI TANZANIA.

Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza Daktari feki aliyekamatwa nchini humo kuruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari.

Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki aliwafanyia upasuaji wagojwa tisa kati ya hao mmoja ambae alikuwa mjamzito ndio alipoteza maisha ila alifanikiwa kumuokoa mtoto.

Ingekuwa bongo, angekuwa gereza la Butimba au Segerea, tunaua sana vipaji.

No comments:

Powered by Blogger.