#BMGHabari inaungana na Kijukuu Cha Bibi K (William Bundala) Mtangazaji wa kipindi cha Mambo Mambo cha Radio Free Africa #RFA Mwanza katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo Novemba 29 miaka mingi iliyopita. Na wadau wengine waliozaliwa leo, #BMG inawatakia Maisha Mema!
No comments: