LIVE STREAM ADS

Header Ads

STENDI YA MABASI MKOANI GEITA.

Asilimia kubwa ya stendi za magari ya mikoani nchini ziko kwenye ubora wa kusuasua.

Si mbaya lakini kwa ukubwa wa jina la mkoa wake kwenye utajiri wa madini ya dhahabu nchini kupitia wawekezaji wake ikiwemo GGM, stendi ya mabasi ya mikoani, mkoani Geita inahitaji maboresho zaidi ili kuendana na hadhi ya mkoa.

BMG inawatakia majukumu mema wana Geita ikiwemo wakurugenzi katika kuuletea mkoa wenu maendeleo, kwa usafiri wa baiskeli ngoja tutafute nanasi tule maana madini tunaambiwa ni kwa ajili ya wawekezaji, (Utani kidogo).

No comments:

Powered by Blogger.