LIVE STREAM ADS

Header Ads

BASI LA SUPER TWIGA LAPATA AJALI MKOANI MWANZA, LAJERUHI NA KUUA.

Zaidi ya watu watano wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa baada ya basi la Super Twiga linalofany safari zake mikoa ya Mwanza na Mara kupinduka katika eneo la Nyanguge Magu mkoani Mwanza hii leo asubuhi.

No comments:

Powered by Blogger.