LIVE STREAM ADS

Header Ads

BLACK AND WHITE PARTY KUIKAMILISHA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2017 WILAYANI TARIME.

 Petter Maraha Entertainment kutoka Tarime mkoani Mara, inakuletea shoo kali ya "BLACK & WHITE PRTY" kwenye Sikukuu ya mwaka mpya, 01.01.2017 katika ukumbi wa King Paris Resort Mjini Tarime, kwa kiingilio cha buku tano tu (5,000).

Kutakuwa na mashindano ya mavazi/kupendeza, kula, kuimba na kucheza muziki ambapo kutakuwa na zawadi mbalimbali bila kusahau zuria jekundu (Red Carpet). Ni fika mapema ili ufurahie hadi majogoo.

Imepewa nguvu na Maraha Beuty Maker and Hair Dressing Salon, King Paris Resort na BMG

No comments:

Powered by Blogger.