LIVE STREAM ADS

Header Ads

HONGERA MISS SEFROZA JOSEPH KUTOKA JIJINI MWANZA.


Hongera mtangazaji mahiri Jijini Mwanza, Sefroza Joseph a.k.a Sefkaren kwa kusherehekea mwaka mpya 2017 sambamba kabisa na siku yako ya kuzaliwa hii leo (Januari Mosi, miaka kadhaa iliyopita). BMG inakutkia maisha mema!

"January 1 kwanza napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa nafasi hii ya kuuona mwaka mpya wa 2017 nikiwa mzima wa afya na amani tele.!!.asante pia kwa mama yangu aliyenileta duniani miaka 27 iliyopita tarehe na mwezi kama wa leo (R.I.P dear mama😭) asante pia kwa watoto wangu Karen & Maggie kwa kuwa faraja kubwa katika maisha yangu (mama love u saaana😘

Asante kwa familia yangu kwa kuwa nami bega kwa bega katika shida na raha...Thank yuuu very machi marafiki zangu wa ukweli tuliolia pamoja na kucheka pamoja💞💞 and ofcoz my beibiiiii (in lad jaydee voice ) thanks sana aisee kwa kuwepo katika maisha yangu my really gentleman ever weee ndio mchizzz wangu aisee na unajuanga vileeee nakupendagaaaaa😘
HAPPY NEW YEAR 2017 and HAPPY BIRTHDAY TO ME🎂" Sefkaren ameandikwa kwenye mitandao yake ya kijamii.
Kulia ni Sefkaren, katikati ni bintiye Karen na kushoto ni rafikiye, Loyce Nhaluke

No comments:

Powered by Blogger.