LIVE STREAM ADS

Header Ads

SALAMU ZA MWAKA MPYA 2017 KUTOKA BMG.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

2014 tuliianza safari ya KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII tkifahamika kama "Mtanzania Media Blog", ukatuamini. 2015 tukabadilika na kuwa "Binagi Media Group" bado ukatuamini. 2016 umetuamini. Ni matumaini yetu 2017 pia utatuamini kupitia nembo yetu ya BMG HABARI na imani yetu ya "Kwa Pamoja Tuijuze Jamii" tangu tunaanza mwaka 2014.

Hakika ahsante kwa kuitembelea binagimediagroup.blogspot.com kwa Habari na Matangazo. Daima tunasema "BMG HABARI, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII".

Tunakutakia mwisho mwema wa mwaka 2016 na mwanzo mwema wa mwaka mpya 2017. Tunakutakia maisha mema yaliyojaa mafanikio tele, Mungu Akubariki, Amen!

No comments:

Powered by Blogger.