LIVE STREAM ADS

Header Ads

JICHO LA BMG SIKU YA BOXING DAY NDANI YA IGOMBE JIJINI MWANZA.

Jana Disemba 26, 2016 ilikuwa mapumziko ya Krismasi, wengi huita Boxing Day kwa maana ya siku ya kufungua zawadi za Krismasi, ambazo ndugu, jamaa na marafiki hutumiana kwenye Krismasi.

Jicho la BMG lilitua Mhonze huko Igombe katika Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza na kukutana na wadau wake, Loyce Nhaluke (kushoto) na SefKaren (kulia). Katikati ni Mwana_BMG akiwa katika pozi na wadau hao.
Wadau wa BMG, Loyce Nhaluke (kushoto) na SefKaren (kulia). Katikati ni Mwana_BMG akiwa katika pozi na wadau wake.
Wadau wa BMG katika pozi
Chafu Pozi. 
BMG inathamini ukarimu wenu!

No comments:

Powered by Blogger.