LIVE STREAM ADS

Header Ads

MKUU WA WILAYA YA NYAMAGANA KUSHIRIKI MBIO ZA ROCK CITY JOGGING HII LEO.

TAARIFA YA AWALI
Hi ni kwa ajili yako Mwananzengo. Kamati ya michezo ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza ikishirikiana na Redio ya wananzego 102.5 @lakefmmwanza wanakuletea #Rockcity_Jogging  (mazoezi ya kukimbia) itakayo wakutanisha Wananzengo kutoka pande zote za jijini Mwanza.

Ni hii leo kuanzia saa kumi na mbili na nusu asubuhi kuanzia uwanja wa soka Nyamagana. Mgeni rasmi ni mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Marry Tesha ambaye pia atashiriki mbio hizo za kilomita tatu. 

BMG itakuwepo hivyo pia na wewe njoo na umpendaye ili kwa pamoja tuzijenge afya zetu @Lakefmmwanza #RedioyaWananzego #RahayaRockCity

TAARIFA YA KUAHIRISHWA.

Kutokana na hali ya wasiwasi kati ya Serikali na Machinga,  z
oezi la Jogging halitakuwepo kwa usalama wetu.

Tutataarifiana kipindi kingine.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. 
Wajulishe wadau wetu wote tuliowaalika.
Bitegeko-Katibu Kamati ya Michezo(W) Nyamagana

No comments:

Powered by Blogger.