LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSANII DARASSA APATA AJALI MBAYA.

Staa wa Hop nchinianayetamba na ngoma kibao ikiwemo Staki tamaaToo Much na MuzikiDarassa amepata ajali mbaya ya gari hii leo mkoani Shinyanga.

Katika ajali hiyo iliyotekea Mjini KahamaDarassa pia alikuwa na muongozaji video nchiniHanscanaWote wamenusurika katika ajali hiyo.
BMG/Mtandaoni

No comments:

Powered by Blogger.