LIVE STREAM ADS

Header Ads

NI JAMBO JEMA MSUBI BINAGI KUSHEREHEKEA NAMNA HII SIKU YAKO YA KUZALIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Anaitwa Msubi Binagi, ni miongoni mwa watu poa waliozaliwa tarehe na mwezi kama wa leo (Disemba Mosi) miaka fulani iliyopita. 

"Ahsante sana Mungu kwa kila jambo...umeniwezesha Mimi kufika hapa nilipo...Sina cha kusema zaidi ya kukushukuru na kutangaza utukufu wako. Happy birthday to me". Ameandika kwenye mitandao yake ya kijamii.

BMG inakutakia Maisha marefu na kuwakaribisha wadau wote kwa ajili ya kushirikiana naye Disemba 04,206 atakapokuwa akifurahia na watoto wanaolelewa katika kituo cha SOS Children's Village Dar es salaam katika kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa mwaka huu na Mola kumjaalia uzima. Soma mwenyewe hapo chini.

Mpendwa nakupa taarifa kuhusu lile suala la kwenda kuwatembelea watoto yatima litakuwa tarehe 04/12/2016 Jumapili ijayo. Katika kituo cha SOS Children's Village, kilichopo maeneo ya mawasiliano. Mda utataarifiwa.

Masharti ya Kituo.
1. Kuhusu upigaj wa picha,unaombwausipige picha za na mtoto mmoja mmoja bali piga picha na watoto wakiwa wengi.
hii ni kuepusha watoto wengine wasijisikie kama wanatengwa.
2. Zawadi zote zitatolewa wazi bila uficho wowote.

Kwa mchango au unahitaj kuhudhuria siku hiyo tuwasiliane kupitia no 0712461977.
Msubi Binagi

No comments:

Powered by Blogger.